• Nyumbani
  • Huduma zetu
    • huduma zetu
    • matukio mbalimbali
    • uanachama na mikopo
      • sifa za mwanachama
      • kujiunga uanachama
      • haki na wajibu wa mwanachama
      • ukomo wa uanachama
      • mkopo wa dharura
      • mkopo wa maendeleo
      • mkopo wa niwezeshe
      • mkopo wa elimu
  • Kuhusu sisi
  • Fomu
  • Timu yetu/picha
  • Mawasiliano
    • Kokotoa mikopo hapa
      • kokotoa

Image

Image

HISA,AKIBA NA AMANA
FOMU MBALIMBALI
KOKOTOA MIKOPO HAPA
JISAJILI ONLINE

IFAHAMU BURUTE SACCOS LIMITED

BURUTE SACCOS LTD ni chama cha ushirika cha akiba na mikopo kilichosajiliwa ambacho lengo lake kuu ni kukusanya akiba kutoka kwa wanachama na kutoa mikopo kwa riba nafuu kwa wanachama.

BURUTE SACCOS LTD ilisajiliwa mnamo tarehe 11 Oktoba 2006 chini ya kifungu cha 27 cha Sheria ya vyama vya ushirika. Na 20 ya 2003 kuboresha afya ya kifedha ya watumishi wa umma kwa kuboresha huduma bora za kifedha.

Tangu kuanza kwake BURUTE SACCOS LTD imeweza kuwa na wanachama zaidi ya 1500 katika halmashauri ya wilaya ya Missenyi na Bukoba ambayo imesaidia kuinua hali yao ya kifedha kupitia akiba na mikopo yao.

Madhumuni ya BURUTE SACCOS ni kuimarisha hali za kiuchumi na kijamii za wanachama wake kwa kufuata na kuzingatia kanuni za vyama vya ushirika, sera ya maendeleo ya ushirika na sheria ya vyama vya ushirika na kanuni zake.



    DIRA YETU

    Dira yetu ni kuwa taasisi imara ya fedha,chaguo la kuaminika na wadau

    DHAMIRA YETU

    Dhamira yetu ni kutoa huduma zinazoendana na mahitaji halisi ya Wanachama kwa Teknolojia za kisasa



    SACCOS FAMILIA YENYE FURAHA




    MICHEZO NI AFYA


HUDUMA ZETU

AKIBA

AKIBA YA HIARI NA AKIBA YA LAZIMA

soma zaidi HAPA

AMANA

AMANA ILIYOWAZI NA AMANA ILIYOFUNGWA

soma zaidi HAPA

HISA

soma zaidi HAPA

-

MIKOPO

MKOPO WA DHARURA NA MKOPO WA MAENDEREO

soma zaidi HAPA
PAKUA FOMU MBALIMBALI HAPA

HUDUMA YA UWAKALA

MPESA,TIGOPESA, CRDB

soma zaidi HAPA

..

BURUTE SACCOS LTD

-

Useful Links

  • Nyumbani
  • Huduma zetu
  • kuhusu sisi
  • Fomu
  • mawasiliano
  • Online Voting

Wasiliana nasi

Mtaa wa Uswahilini, Manispaa ya Bukoba
Bukoba Kagera
Tanzania
simu: +255 0625 144 600
Barua pepe: info@burutesaccosltd.or.tz
Barua pepe: burutesaccosltd@yahoo.com

QUICK LINKS

Quick Links
Bank of Tanzania TCDC Tanzania fedaration of Cooperatives SCCULT MoCu
© Copyright BURUTE SACCOS LTD. All Rights Reserved